MANENO  YANGU
Ningependa kumwona japo hana mwili wa nyama pale, wenzetu wanapo msema kwa maneno ,matamu na yenye matumaini au siyo kina mama?
Mungu amenipatia masikio yanayosikia kila aina ya sauti hata yale mashuti ya kejeli na vijembe yanayokwenda timu B,
Je hawa kujua kuwa hii si ndondo cup  ngoja nifanye hima nimtafute timu  c, nisipofanya weledi viziwi hawatonielewa  watanihukumu ‘’ mjinga wewe hukujua tofauti ya mawaidha na chereko unga ndani ya makapi’’ ngoja niache ushabiki.
Tangia vidudu najua kuwa ‘’a’’ ni ‘’a’’ na ‘’u’’ ni ‘’u’’u leo hii naambiawa u ni a na a ni u yupi mkweli Napata maswali, tuliitikia wito nakuja japo meno yetu yalikluwa yanjano kasoro tumwachie bata tulikuja wengi hakunamfano, cha ajabu hatuna hata miswaki we unasafisha kinywa chako mchana kweupe mpaka jua lizame meno yako yatakuwa meupe.
Mama kanifunza mgeni mlangoni ni  Baraka nyumbani sharti tabasamu usoni ukarimu moyoni na khatu si mpi mwiko aingie jikoni, lakini nyumba ya jirai tena kwa mama Fulani mgeni kaja dakika ya tatu ndani ,miguu mezani aletewa sahani la baba lilio sheheni maini.Kulikoni nashangaa nini mskumua labda dunia imeniacha nyuma utandawazi wanasema ngoja niperuzi
NIPE MIMI  ni msamiati maarufu mnao utumia na unaorindima katika masikio ua kina mama waliojinyima na kuja katika sherehe zako japo nyumbani sufuria nyeupe haina hata punje ya biryani.Japo Juliana hafanani na rihana twende kilioni kichwani cha mfana moyoni ana ombwe name na mwabia subiria yeboyebo zako msusi atakapo ingia  giza haliwezi mzuia mwenye njaa ya kweli kula na kupima yale yako hatuhitaji rula ,

Comments